hi
home
Tunajenga mazingira bora ya kujifunza, kukuza vipaji na kuandaa wanafunzi kwa maisha yenye mafanikio.
Fahamu safari ya shule yetu, maendeleo yake na hatua mbalimbali ilizopitia.
Misingi inayotuongoza katika kutoa elimu bora na kujenga kizazi chenye maarifa na maadili.
Kutoa elimu bora inayokuza uwezo wa kitaaluma, maadili mema, nidhamu, uwajibikaji na uzalendo kwa wanafunzi, ili kuwaandaa kuwa raia wenye maarifa, ujuzi na tabia njema kwa maendeleo ya jamii na taifa
Kuhakikisha kuwa skuli bora kitaaluma na kimaadili
Kujenga na kuendeleza ubora wa kitaaluma na kimaadili kwa kutoa elimu bora,
kuimarisha nidhamu na uwajibikaji, kukuza vipaji na ubunifu wa wanafunzi,
kuboresha mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji, pamoja na kuhamasisha matumizi ya sayansi na teknolojia ili kuandaa wanafunzi wenye maarifa, ujuzi, maadili mema na uwezo wa kuchangia maendeleo ya jamii na taifa.
Kanuni na misingi inayotuongoza katika malezi, elimu na huduma.
Tazama video mbalimbali zinazohusu shule yetu, shughuli, wanafunzi, walimu na matukio mbalimbali.
home
Picha mbalimbali zinazoonyesha shughuli, wanafunzi, walimu na matukio ya shule yetu.